Friday, 2 January 2009

uhuni ni tabia mbaya {aisha madinda}



Leo hii anaaminika kuwa mnenguaji wa kike maarufu kupita wote nchini Tanzania hususani katika muziki wa dansi. Ubunifu,uwezo wake katika kunengua na kujituma vilivyo awapo jukwaani inasemekana ndio siri ya mafanikio yake.

Mbiki Msumi msagaji kumbe!






baada ya gaazeti hili toleo no 583 la ijumaasept 19,2008 kuandika habari za mbiki msumi kuolewa na msagaji ,mrembo huyo amekuwa akilalamika magazetini kwamba si msagaji....Gazeti hili lina vielelezo vyote pamoja na picha kwamba mbiki ni msagaji na kwamba kama anaamini hakutendewa haki atangulie mahakamani""""""""jamani hiki ni kichwa cha habari kwenye gazeti la ijumaa nimeona tupeane ushauri hawa madada zetu tuwasaidiaje mara latoya maalaya ,,huku kumbe kuna na wasagaji.............we binti huna aibu kumbe uk ulienda kuolewa nini/??????????