Friday, 2 January 2009

uhuni ni tabia mbaya {aisha madinda}



Leo hii anaaminika kuwa mnenguaji wa kike maarufu kupita wote nchini Tanzania hususani katika muziki wa dansi. Ubunifu,uwezo wake katika kunengua na kujituma vilivyo awapo jukwaani inasemekana ndio siri ya mafanikio yake.

No comments:

Post a Comment